sifa za fasihi

Fasihi Wikipedia, kamusi elezo huru. Sifa za fasihi simulizi. Hutolewa kwa njia ya mdomo. Haitumii gharama; Huonyesha uhalisia wa hisia za mzungumzaji; Ni mali ya jamii. Hakuna mtu anayeimiliki. Dhima za fasihi simulizi. kuburudisha; kuelimisha jamii; kunasihi; kukuza lugha; kuunganisha watu See more

Fasihi Wikipedia, kamusi elezo huru
Fasihi Wikipedia, kamusi elezo huru from image.slidesharecdn.com

Fasihi andishi ni sanaa itumiayo maandishi kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa. Fasihi andishi hugawanyika katika matawi mawili: nathari na ushairi. Pia fasihi andishi ina tanzu nyingi mbalimbali, hasa hadithi fupi, riwaya, tamthiliya, insha, shairi n.k.

0 komentar